Thursday, May 7, 2020

ALIYEHARIBU MWANZO maana yake aliacha JERAHA LA MOYO 💔

Tags



Usiamini kupitia MANENO yake  kwa sababu anaweza KURUDI ILI KUHARIBU UPONYAJI ULIOPATIKANA😂😂
Nature ya walio PENDANA 💞 wakishindwa kuridhiana mpaka kuachana mara nyingi HUISHI KWA KUOMBEANAA MABAYA ili atakayeonekana yupo vizuri amcheke anayepitia magumu💯
Ifikapo wawili waliopendana wakipata FAMILIA 👪 na Mali kidogo halafu wakaachana KAMWE HAPATAKUWEPO WA KUMHURUMIA MWENZIE  bali watakuwa na UTENGANO WA KI MAFANIKIO NANI AWE KWENYE UKOMBOZI BAADA YA WAO KUACHANA na hapo ndipo utabaini wazi atakayekuwa ameharibikiwa ndiye atakaye kuwa MWANZILISHI WA KUOMBA KURUDI 😂
Ujinga ni upi :-
 KURUHUSU MTU ALIYEKUUMIZA KURUDI AKILINI 🧠 MWAKO MWISHO KABISA ANASHUKIA MOYONI 🤔
Kuuguza KIDONDA ambacho tayari kilipona halafu UKAUMIA PALE PALE kama sio KUKATWA ENEO HILO wallah hilo litabaki kuwa DONDA NDUGU 😂😂
Single Mother 🤰🤱 MPOOOOOO🗣️ 📢
Chukueni POINT HAPO wanaume hawakawiii KUZALISHA NA KUKIMBIA 🏃‍♂️ kwa kuogopa MAJUKUMU 😜
Ole wako UMUDU KUMTUNZA MWANAE ATAKUJA ANAHURUMISHA HUYOOO 💯
Kama ukijitahidi sana kujitutumua kwa JAMII ooooh AWEPO KWA AJILI YA MWANAE TU 😂😂😂😂
Kumbuka MWISHO WA SIKU:-
 NILIKUMISS MUME WANGU 👙
MTOTO/WATOTO PAMOJA NA MALI VISIHUSISHWE NA UPENDO 💞 kwa sababu UPENDO 💘 NI MATENDO YA NAFSI💯



EmoticonEmoticon