Sunday, May 17, 2020

Hii Ni kwa Wanaume wote...!

Tags

Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama punje ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara!
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani wako very smart na wana all qualities za kuwa mke na mama bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo nyama ndo zitaendesha nyumba.
...Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa imara hujengwa na Familia imara na bora..Uchaguzi ni wako,na ukumbuke,Kalio huwa na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa kalio na sio akili!
Utundu wa 6x6



EmoticonEmoticon