Tuesday, May 5, 2020

UTAMU WA PENZI LA MWANZO USIKUZUZE UKASAHAU UTU WAKO!

Tags




WANAVYOFANYAGA👇:

🌺 Hakuna Asiyejua Kwamba Penzi La Mwanzo Uwa Tamu sana Jamani Acha Tu Asikwambie Mtu Kitu...Unakuta Zile SMS za Baby Nimekumisi au Baby I 💕 Love You Zinatiririka Kama Mvua Acha Tu Aisee😀😀😀

🌺 Huu Ndio Wakati Ambao Mpenzi Wako Uwa Anayafanya Majukumu Yake Kwako Kama Mpenzi Wake On time Kwa zaidi ya 80%, Hapa Ukituma SMS inajibiwa Chapu😅😅Ukisema Baby Nataka Kukuona yani Haichukui Round Mtu Huyu Hapa, baby Nitumie picha Chapuu imekuja....😁😁😁

SASA UTAMU WA PENZI LA MWANZONI USIKUZUZUE SANA👇👇:

🌺 Ukafikia Hatua Baby Anakuomba Picha Ya Kitumbua/Uch-i na wewe Unatuma au Picha ya ndizi/Uc-hi Unatuma tu...

🌺 Vipi Ushawahi Kujiuliza Itakuwaje Siku Mkiachana na tayari Umeshamtumia picha zako ukiwa uc-hi kama zote hivi au Ndio Nikuache Kwanza😅😅??

🌺 Umepewa Ubongo na ndani Yake Ukapuliziwa Akili...Sasa Fikiri Kabla ya kutenda Kwamba Hizo👆 Picha Za mtindo huo 👆Unamtumia huyo unayemuita Mpenzi Wako ili iweje ?

🌺 Au kuna mtu alikueleza kwamba Ukifanya hivyo ndio Utapendwa?? Upendo Upo Tu kama Upo kweli Hata usimtumia hizo takataka zako 😁😁

🌺 Ndio nyinyi ambao kesho Mkiachana unaanza kuwa mtumwa wa Mawazo na Kuanza Kung'ang'ania Mapenzi Mpaka Jamii inajiuliza Hivi Yule Analazimishaje Mapenzi Wakati Mtu Hampendi?

🌺 Kumbe Siri Unayo Mwenyewe ni Tule Tupicha Twako ndio Tunakutesa kenge wewe😅😅😅😅 Ebu Usitusumbue Sisi Nenda kafie Mbali sana huko👉👉😂😂

MPENZI WAKO AKIKUOMBA PICHA YA KITUMBUA MTUMIE PICHA YA KITUMBUA KWELI...NA AKITAKA UMTUMIE YA UC-HI MWAMBIE ATAKUONA SIKU MKIWA WOTE😂😂

Sasa Wewe Akuombe Picha kama hiz👆👆Mtumie Alafu Nikubaini Kenge Weeee...Ndio Utajua Ni Muda Gani Bodaboda Inatumika Kama AMBULANCE...😂😂😂



EmoticonEmoticon