Mwanaume yeyote anaweza kuvutiwa nawe hata ukajiona BABU KUBWA kumbe ni tamaa na imagination za maumbile yako na Moyoni wala hajakuweka😂😂
Wanawake wengi mnaangamia kwa kujiona CAKE 🍰 kisa tu wanaume wengi wanaimba UPENDO dhidi yenu hilo ni PEPO💯
Kama kweli unao mvuto basi MVUTIE ALIYEKUFAHAMU KABLA na sio kujidai kisa kila unakopita wanakuangalia Muda mwingine umepauka wanakushangaaa😎 halafu usivyo mtambuzi unajiona CLEOPATRA🤳
Jiulize swali hili;
👉🏼 ULIWAHI KUONA WAPI CHIZI WAKIUME ANABAKWA😂
Sasa kinachokupa kiburi ni nini ikiwa hata Maria Yule anashinda jalalani anawavutia wanaume na pesa zao hata wakawazia watampata lini😂😂😂
Mwanaume mpya asikutishe rafiki yangu, Tishika na Mwanaume aliyekukula 👙 na bado akikuona anaweweseka, Mwanaume ni kama CHIZI kila aonapo jalala jipya nywele zinamsimama anajikuna😇
Ndo maana kwa sasa wanaume imekuwa rahisi sana kuwapata kuliko zamani kwani mmeshindwa kuvumilia hali za hisia zenu hata mnajipitisha Pitisha mpate mwanaume wa kusema neno SHENZI KABISAAAA😭😭
Tulia na wako mmoja, Mbebee madhaifu na ujitahidi kuzilinda hasira zako ili UMTIII ndipo utaona ilivyo rahisi kumkamata Mwanaume wako kuliko kulingia wanaokuona kwa mara ya kwanza⛔
Jiulize hajakukula ajue ukoje maneno kibao ila ukimpa tu niamini HUNA JIPYA NGW’ANA WANHE😂😂

EmoticonEmoticon