JE ❓ ULISHAWAHI KUKUTANA NAVYO. π
1πKUJAMBA : Kila mtu huwa anajamba, ila kujamba wakati wa tend0 la NDOA ni kitu tofauti , ikitokea Mume au Mke wako amejamba, potezea harufu, kisha endelea kufurahia tend0ππ Ukiona huwezi kupotezea cheka tu,π usikasirike sana maana ajali kazini.ππππ
2πKUWA MKAVU { Wanawake}
Mambo yanaweza kwenda ndivyo sivyo, ukiwa tayari kwa ajili ya Tend0 la Ndoa, harafu sehemu zako za siri zikiwa kavu sana. Hii ni ishara kuwa Mume wako inabidi akuandae vizuri ili usiwe mkavu. Usijishangae ni kawaida.
3πKUVUJA DAMU PUANI.
Mtu anaweza kuzimia akiwa katikati ya tend0 la ndoa, lakini kubwa zaidi na kutokwa na damu puani, ikitokea, usishangae sana, tulia tu hadi damu ikatike, kisha endelea kuponda raha.π
4πKUKUJOA
Katikati ya tend0 la ndoa , uhondo ukizidi unashikwa na haja ya kukojoa ghafla, hapa una maamuzi haya, kuendelea na tend0 ukijikaza hadi mmaalize, au uombe po πili ukajisaidie kwanza, ama ukojoe hapo hapo.
5πKUTAPIKA.
Kuna vitu huwa tunafanya ili kuwaridhisha wenza wetu, kama kunyonya ana kuramba nyeti, na ukizidisha kama huwezi jizuia unaweza kujikuta unatapikaπππ. Ushauri tu, usijaribu kufanya kila kitu kuzidi uwezo wako kwa raha ikizidi ni karaha.ππ
6πKUTUPWA KANDO.
Hii ni moja wapo ya njia ama ishara kuwa tend0 limefikia ukomo, haswa wewe kama ndio unamtupa mwenzio kwa kumtoa kwenye mwili wako, mfano akiwa juu yako.
π΅LAKINI UASHERATI USITAJWE KWENU KAMWE WALA UCHAFU WOWOTE WA KUTAMANI KAMA IWASITAHILIVYO WATAKATIFU WAEFESO 5:3
π΄NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE π NA MALAZI YAWE SAFI π MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA ADHABU.
EmoticonEmoticon