๐ KWA SABABU WANAWAKE HAWAJAJUA ILI MWANAUME ATULIE KI AKILI LAZIMA ATIMIZE MAHITAJI KWA NGUVU ZAKE MWENYEWE๐ฏ
Mwanaume anapoacha kuhangaikia maisha hakikisha ameweza kuweka mipango yake vizuri kwamba AMEWEZA KUJUA KIPATO CHAKE KINATOKANA NA JUHUDI NA MAARIFA YAKE ila sio kama ambavyo wanawake mnajitutumua๐
Mwanaume kitu pekee anatakiwa kupewa na Mwanamke ni UTII⛔
Maana hilo ni jukumu lako Mwanamke, kwa ziada mpatie PENZI TAMU๐
Kwani ndani yake nawe utasikia raha kama atajua kumchezea kiti MAHABA wako au nakosea jilani๐คท๐ป♂
Mwanamke mpe Mwanaume kitu ambacho ni cha kwako mwenyewe ila sio kitu ambacho hata wewe mwenyewe unajua kinaweza kwisha ama kutoweka siku moja akiomba ukakosa na umemzoesha ndipo MWISHO WAKO UTAHESABIKA๐คฆ๐ป♂
Kosa kubwa wanawake mnalo ni kujaribu KUMFURAHISHA MWANAUME DUNIANI wallah hakuna Mwanamke aliyefauru hilo ndo maana mnajikuta kilio chenu ki moja๐ฏ
Mwanaume anapewa UTII TU mengine mwache ahangaike mwenyewe, Vile msivyo welevu mnajivunia mambo ya kupita, hujiulizi kwamba:-
๐ UTAKACHODHANI KINAMTULIZA MWANAUME NA MWANAMKE MWENZIO ANACHO AMA ANAWEZA KUKITOA?
Kwa Mwanaume huna jipya kwani nature yake ni starehe ya mwili wakati huo huo ni zoezi la mpito kwake๐
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria ๐จ

EmoticonEmoticon