Wednesday, May 6, 2020

UPENDO💘 WA DHATI💕 NI MARA MOJA💯

Tags

Maana yake ni pale Mtu anapoweka TUMAINI LA UPENDO KWAKO... Baada ya TUMAINI kuvunjika hapo ndipo MOYO HUHISI UONEVU na hapo ndipo UPENDO WA DHATI HUTOWEKA na kubakia hali ya wasiwasi na kutojiamini tena🤔
Msamaha ni tendo la UBIN ADAM na ndivyo MUNGU anaagiza, tatizo ni kutofautisha MSAMAHA hapo wengi huamini kupitia KAULI ZA MSAMAHA.
Ni ngumu kupata MSAMAHA NDANI YA MOYO kutokana na ukubwa wa JERAHA japo Mtu anaweza kusema MSAMAHA kutokana na woga wa kuona ATAUMIA KUKUKOSA kutokana na MAZOEA yaliyojengwa na UPENDO.
Watu wengi HUTAMKA MSAMAHA ili kutafuta nafasi ya KULIPIZA ama kwa MATENDO au kwa KUKUACHA UNGALI BADO UNAMPENDA na hapo ndipo ugumu wa MSAMAHA WA KWELI HUTAJWA...
Nijuavyo Mimi ni kwamba;
 MWENYE UPENDO WA DHATI AKIUMIA HUWA HASAMEHE KWA KUENDELEA NAWE ILA ANAKUACHA ILI KUJITENGA NA MAUMIVU.
Lakini ukiona bado yupo nawe ujue ANAKUVUTIA KASI TU ili akija kukuondoa kwenye MAZOEA mloyajenga ataondoka kama UPEPO ðŸŒª️ hata ule ulomleta kwako utakuwa mdogo ðŸ˜‚😂
Nahihitimisha kwa kusema kwamba UPENDO ðŸ’˜ WA DHATI ðŸ’• HAUJIRUDII BAADA YA MAJERAHA.



EmoticonEmoticon