Mtu anae kupenda atafanya kila njia kuhakikisha kuwa mapenz yenu yanasonga mbele
Atakuheshimu
Ata kuvumilia
Atakusikiliza
Ata kujali
Ata kuvumilia
Atakusikiliza
Ata kujali
Mtu anae kupenda ataogopa kukuppteza hivyo mda mwing atakuomba msamaha akikukosea
Anae kupenda ataepuka kukukwaza kwa makusudi
Anae kupenda ataepuka kukukwaza kwa makusudi
Ukimpata anae KUPENDA nawe utajifunza kupenda na utampenda
MUHESHIMU ANAE KUPENDA
MUHESHIMU ANAE KUPENDA
UNAE MPENDA
Akisha gundua kuwa ana pendwa bas atakufanyia visa vingi ili mradi tu uumie.. atakufanya ujione huna thaman na una lazimisha mapenzi
Akisha gundua kuwa ana pendwa bas atakufanyia visa vingi ili mradi tu uumie.. atakufanya ujione huna thaman na una lazimisha mapenzi
Mtu unae mpenda haoneshi kujal mapenz yenu..hata mukitaka kuachana yeye kwake kawaida tu..
Mtu unae mpenda atajawa na kibur akiamin kuwa huwez muacha maana una mpenda..
Hivyo unapo taka KUOA au KUOLEWA fanya hivyo kwa mtu ambae Anakupenda angalau unaweza nawe ukampenda.. Lakin ukisema ulazimishe kwa unae mpenda afu yeye hakupend utateseka Sana mbelen
UNAE MPENDA hakupendi
USIE MPENDA ndo ana kujali sana
USIE MPENDA ndo ana kujali sana
Mapenz ndivyo yalivyo hayana kanuni
PENDA UNAPO PENDWA
ACHIA UNAPO TENDWA
ACHIA UNAPO TENDWA
EmoticonEmoticon