Thursday, May 7, 2020

KWANINI ANAYETAKA MAPENZI NDIYE HUFURAHIA KULIKO ANAYETOA MAPENZI? IKO HIVI;

Tags

• Moto🔥 wa Mapenzi unawashwa na aliyeanza kuwazia PENZI 💯 lakini pia ni rahisi kwa apokeae MOTO🔥 huo kufanya MOTO 🔥 UZIDI KUSHIKA KASI...
Mapenzi ni HISIA 💑 hivyo kama huna hisia na mwenza wako ni rahisi kutohisi UHITAJI WA PENZI ndo maana siku zote nasisitiza KAMA MTU HANA HISIA NAWE HUYO USIMSUMBUE mwache aende kwa aliye na hisia nae, kubakia nae ni wewe kujaribu kumshawishi apate hisia juu yako kitu ambacho ni hatari kwa HISIA ZAKO 💯
Hisia inapokuwa imeinuka inahitaji mtu ambaye ukimtamkia neno MAPENZI arudishe shauku ya kuhitaji PENZI na hapo itakuwa rahisi sana KUFURAHIANA...
Wana mahusiano wengi wanalazimisha MAPENZI bila kujua, ni kwa sababu mahusiano mengi yanatawaliwa na DHIKI 💯
Nature ya PENZI liwe na mapokezano ya NAFSI kwamba mtu unaamua kusikia shauku ya kuwa na mwenza wake kwa mambo yanayohusu UPENDO 💕 hapo hata MBU 🦟 huwa hasogei kuharibu MOOD 👙
Ruhusu Mtu mwenye HISIA juu yako atawale PENZI LA MOYO 💖 WAKO na hapo utajua dunia vile haikimbii😂
Ole wako uwe na Mtu ambaye YUPO KWAKO KWA SABABU ZAKE kwamba ili akupe PENZI unawajibika ku-boost HISIA ZAKE KWA KUMTIMIZIA MAHITAJI YAKE wallah Utajutia 😂😂😂



EmoticonEmoticon