Thursday, May 7, 2020

MWANAUME USIWAZIE NDOA KAMA HUNA HELA ⛔

Tags

Kama kuna kosa ambalo Mwanaume hulifanya na likaharibu Maisha yake ni:-
 KUTAFUTA MKE KABLA HAJAJIJENGA.
Mwanamke raha na heshima yake KUOLEWA💯 na maana halisi ya KUOLEWA ni KUMILIKIWA kwamba Mwanaume ndiye atakuwa na jukumu la kumhudumia MWANAMKE kwa kila kitu.
Ni kweli kabisa palipo na NDOA tulivu na yenye AMANI kuna Mwanaume wa majukumu, Ndoa nyingi zimeingiwa migogoro kwa sababu ndogo sana MWANAUME KUSHINDWA KUSIMAMA KWENYE NAFASI YAKE pengine akitegea kwa sababu Mkewe anaweza kumhudumia mji, Mwanamke nature yake ni MAMA na kwa maana hiyo anajua wajibu wake ndo maana ni rahisi Mwanamke ku-handle MAJUKUMU YA FAMILIA 👪 YAKE IKIWA BABA AMEPATA MATATIZO AMBAYO ANAAMINI YAPO NJE YA UWEZO WA MUMEWE wala hatakuwa na KINYONGO kuhudumia mji wake, Ila kama ndo MWENENDO WA WANAUME WA SASA KUPENDA MTEREMKO wallah nakuapia siku zako zitahesabika😂😂
Hata kama utavumiliwa miaka 10 niamini kuna wakati utakuja kuona Mwanamke bila kuhudumiwa hataweza kuwa wako peke yako, Maisha ya Mwanamke yanahitaji CARE na wanaume wa sasa eti wanaamini CARE ni KUBEBA MIKOBA NA KUJIBU MSG WATSAPP babu hayo yanafanywa na mtu yeyote, Tafuta kummiliki Mwanamke ndipo uwe na hakika ya UPENDO 💞 WA MWANAMKE kinyume cha hapo WEWE NI PICHA YA KUCHORA TU😂
Asikudanganye MWANAMKE DUNIANI 🌎 KWAMBA ANAKUPENDA BURE NA HUNA UWEZO WA KUMTIMIZIA MAHITAJI YAKE hata uwe unapiga bao 100 itabidi apatikane asojua kupiga hata bao moja ili akusaidie majukumu hapo wewe ni KABATI LA JIKONI MASIZI YANAKUHUSUUUUU🙋‍♂️



EmoticonEmoticon