Hiyo ndo maana halisi ya msemo wa wahenga;
• KWENYE MITI🌲 HAPANA WAJENZI🏘😂😂😂
Hilo ndilo tatizo kubwa kwa Wanaume ndo maana mpaka kesho nitasema MWANAUME HAJUI KWANINI ANAMSALITI MWANAMKE WAKE ila Mwanamke akiamua kusaliti anajua sababu ilompelekea kutoka nje ya NDOA yake.
Sababu ya Mwanaume kutojua SABABU INAYOMFANYA KUTOKA NJE YA NDOA ni pale anapoamua kumtamani Mwanamke Mwingine huku akijua Mkewe ni zaidi ya Mwanamke Mwingine 😂😂
Ili Mwanaume ajue THAMANI YA MKEWE ni pamoja na kutomsaliti💯
Ukiona Mwanaume anakusaliti ujue THAMANI yako haijui japo huko nje wanaume wengine wanaijua THAMANI YAKO 💪🏼 japo na wao wakipewa nafasi hawataijua THAMANI YAKO 😂😂 Maana hulka ya WANAUME NI MOJA KUTAMANI huku wao wakiamini ni UPENDO.
Hakuna utundu, wala majaaliwa yako etiiii yatatuliza TAMAA YA MUMEO ila ni yeye mwenyewe kuamua kupumzika kama sio kuacha 😂😂
Muda Mwingine na UMRI nao ni chanzo cha utulivu wa Mwanaume maana wanaume waoga wa kukosa msaada pindi wanapozeeka👨🏻🦳
Kuliko kupambana na MICHEPUKO, KUHUDHURIA MAKONGAMANO YA WANAWAKE ILI KUPATA ELIMU YA KUMTULIZA MUME KABLA HAJACHOKA MWENYEWE ANZISHA UFUGAJI WA VIPEPEO🦋 kwa sasa ni deal😂😂😂
Maana ili Mwanaume aijue THAMANI YA MWANAMKE NI PINDI ANAPOKUWA ANAHITAJI ILE KITU INAMESAAAA MWENSIE 👙na kama ndo havutiwi nawe tena basi tenaaaaa ndo hesabu IMETOKAAAA😂
#

EmoticonEmoticon