Monday, June 15, 2020

*KATIKA SOMO LETU LA LEO NITAZUNGUMZA NA MAMA ZANGU, DADA ZANGU Naomba zindukeni SINGLE MOTHERS*

Tags

✋๐Ÿป *HABARI ZA ASUBUHI NDUGU ZANGU WA MAISHA NA MAHUSIANO*
๐Ÿงพ *KATIKA SOMO LETU LA LEO NITAZUNGUMZA NA MAMA ZANGU, DADA ZANGU Naomba zindukeni SINGLE MOTHERS*
๐Ÿ‘จ‍๐Ÿ‘ฆ‍๐Ÿ‘ฆJana niliuliza Kwa nini Mwanamke kuolewa na mwanaume mwenye mtoto iwe kawaida.. Lakin mwanaume kuoa mwanamke mwenye mtoto iwe gumzo? Lakini wengi wanapuuzia maswali yangu coz hayana umuhimu
๐Ÿคฑ๐ŸผMwanamke uliye zalishwa unaweza kufaa au kuto kufaa kuolewa kulingana na msimamo na akii yako Naamin kuwa mpo mulio beba mimba kwa kuwa muliahidiwa Ndoa baada ya mimba kutunga.
๐Ÿคฐ๐ŸผWapo mulio beba mimba sababu ya uchanga na ugen ktk mapenz yaan umejitunza ila siku ya mwisho mwanaume wako wa kwanza ndiye akakupa mimba na kukuacha.
๐Ÿคฐ๐ŸผMpo mulio pata mimba baada ya kubakwa Na wengine mulikosea kuhesabu tarehe ikaingia na hamkuwa tayar kutoa ..
๐Ÿคฐ๐ŸผHaijalishi ulipata mimba mazingira gan unatakiwa ubadilike na uwe na akil mpya
๐Ÿคฑ๐ŸผKuwa na mtoto hakukunyimi nafas ya kuolewa unacho takiwa kujitambua tu.
๐Ÿคฆ๐Ÿผ‍♀ *Sasa leo nauliza tena then msijibu swali langu SINGLE MOTHER unataman Ndoa??*4
utamuzaidiapp


EmoticonEmoticon