💘😍
#Kumsaliti mpenzi mwema ni sawa na kutupa almasi na kuokota jiwe.
💘😍
#Kusaliti katika mapenzi ni uchaguzi binafsi wala siyo kukosea au shetani kukupitia, usiwe mpumbavu.
💘😍
#Usidanye, usisaliti, usitoe ahadi usizoweza kuzitekeleza katika mahusiano.
💘😍
#Faida pekee unayo jipatia ndani ya usaliti ni woga na hatia.
💘😍
#Msahau aliye kuumiza jana ila usimsahau wala kumuacha anayekupa furaha na kukupenda kwa dhati leo.
💘😍
#Anaye simamishwa bila sababu, anaweza kuanguka pasipo majibu.
💘😍
#Usaliti ni uchoyo ambao mtu uufanya katika mahusiano.
💘😍
#Usimlilie asiyeweza kukulilia kwa kuwa wapo wengine hujali hisia zao na kuchezea hisia za wengine.
💘😍
#Athari za usaliti katika mahusiano
--uondoa hisia za mapenzi ya kweli.
--humfanya mtu awe na mtazamo hasi kuhusu mahusiano.
--uondoa amani na furaha ya mtu.
--uumiza moyo.
--uondoa uwepo wa Mungu na kumkaribisha shetani.
💘😍💘😍
#Usimsaliti mpenzi, kama huna furaha naye mwache na umruhusu aende.
💘😍
#Kumsaliti mpenzi mwema anayemcha Mungu, itakupelekea kumpata mpenzi muhuni anayefanana na tabia yako.
💘😍💘😍
KUTAMBULIKA MSALITI KATIKA MAHUSIANO NI KOVU BAYA NDANI YA MAHUSIANO.
💘😍
#Watu wengi husaliti wapenzi wao kwakuwa hujari zaidi kile wanacho kikosa kuliko kile walicho nacho.
💘😍
#Dakika mbili za usaliti uua ndoa ya miaka ishirini kizembe.
FIKIRI KABLA YA KUTENDA
💘😍
#Wanaume wanafaa kupenda na kuwalinda wanawake, siyo kuwa umiza na kuwasaliti.
💘😍
BARIKIWA
EmoticonEmoticon