Saturday, May 9, 2020

LEO NAZUNGUMZA JUU YA WATU AMBAO WALIWAHI KUWA KWENYE NDOA NA WAKAONDOKA HUKO WAKABAKI PEKE YAO💃

Tags



Watu ambao wamekuwa peke yao kwa mda mrefu ni wagumu kupenda tena, Lakini WANALO PENDO NDANI YAO ILA LIMEKUFA KUTOKANA NA MAJERAHA WALIYOYAPITIA KWENYE NDOA ZAO... Sababu ya msingi ya Watu hao kutokuwa na upendo wa wazi ni kutokana na wao kuzoea sana kuwa peke yao na hilo limejijenga kwa kutofautisha kati ya KIFUNGO CHA NDOA NA UHURU WALOUPATA BAADA YA NDOA🙋🏻‍♂ Watu hao wamezoea kujitegemea na kujiridhisha wenyewe kiasi kwamba inahitajika kitu cha ziada kuwashawishi kwamba washawishike kuonyesha tena UPENDO WA DHATI kwenye maisha yao, Vinginevyo UKUBALIANE NAE KWAMBA ANAHITAJI EXTRA ORDINARY BOND... Lakini nikwambie jambo WATU HAWA AKIREJEA KUPENDA HUWA ANAPENDA KULIKO HATA UPENDO ALOJIFUNZIA MAPENZI YAKAMUUMIZA😂
Kama unaweza kukutana na Mtu aliyejeruhiwa na aliyempenda na akakubari kukupa MUDA WA KUKUINGIZA KWENYE MAISHA YAKE TARAJIA USHINDI WENYE NEEMA Kwani liko pendo la ajabu kwa mtu huyo💃
Lakini nikwambie kabisaa OLE WAKO UKAJICHANGANYE AHISI UNAFANANA NA ALIKOTOKA HUKUMU UTAKAYOIPATA MIMI SIMOOO🙋🏻‍♂



EmoticonEmoticon