.
(Lijue Hili litakusaidia.)
Hakikisha kuwa Mapenzi yake kwako yanawakilishwa na Matendo pamoja na maneno yake. kwa hivyo basi mwenza wako akikwambia anakupenda, hebu tafakari kuhusu matendo na maneno yake yanakupa sababu ya kumuamini na kukufurahisha!?

Siyo nakupenda mtu yuko busy, Nakupenda mtu kukuwazia ki zawadi hamna. Nakupenda ukisema una mimba yake hooo toa, Nakupenda No call no sms kutwa nzima yuko busy.
Hadi lipate Nyege ndo linaibuka kwa kasi ya 4G akishakuvua chupi tu upendo unapoa km maji ya mtungi. Anakwambia nakupenda kila siku anabadilisha wanawake kama line za Simu.
NDUGU YANGU HUNA MME HAPO!
Kama hujafunga ndoa na unaishi na mtu wa namna hii tambua kuwa wewe amekubadirisha kuwa Sex Machine.
Kama hujafunga ndoa na unaishi na mtu wa namna hii tambua kuwa wewe amekubadirisha kuwa Sex Machine.
Jiongeze Mapema, tambua kuwa nyakati za Ujana ndizi za kuchagua kuwa Uzeeke vipi ktk Mahusiano yako, Usishangae Unaitwa Mjane/Mtalaka wakati hata hujawahi kuolewa/kufunga Ndoa.
Mithali 1:5
mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.
mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.
EmoticonEmoticon