Sunday, May 17, 2020

NAMNA YA KUJUA KAMA SIMU AU LAINI YAKO UNACHUNGUZWA NA MTU MWINGINE

Tags


1. Nenda katika sehemu ya kupigia simu.
Hii ni sehemu ambayo wewe huandika namba na kuipiga (kwa wenye simu za batani wanaweza kuanza moja kwa moja na hatua ya pili ya bonyeza namba)
2. Bonyeza namba *#61#
Hakikisha mara mbili mbili hizi namba (*#61#) ili kuepuka kukosea na kukupelekea wewe upate majibu yasio sahihi.
3. Piga kisha subiri kwa muda.
Baada ya kuziandika vizuri kabisa hizo namba zipige na usubiri kwa muda kisha utapewa wajibu.
4. Angalia majibu.
Kama majibu yatakayokuja yatakua ni "Not forwarded" basi jua simu yako haijaunganishwa na mtu yoyote nanaekuchunguza. kama majibu yatakayokuja yatakua ni "Forwarded" basi jua kuwa simu yako imeunganishwa na mtu naeweza pata taalifa zako.
Na kama umekuta unachunguzwa piga ##21# kujiondoa.
Usisahau kushare na
Like page👇👇



EmoticonEmoticon