Friday, May 8, 2020

USALITI KWENYE MAPENZI SIO SHIDA, TATIZO LINAKUJA PALE MSALITI ANAPOANZA KUFANYA HIVI

Tags


USALITI sio shida sana kwa walio wengi na hukiri wazi kuwa huwezi mzuia mtu akiamua kuchepuka
Lakin ambacho wengi kinawauma ni pale Msaliti wake anapo anza Mdharau na kumuoneshea wazi wazi ,anaongea na simu za michepuko yake bila kificho
mda mwingine hawala zako unawapa namba yake wamtukane mkeo au mumeo.
Unarudi usiku wa manane au hurudi kabisa...
Jitahid basi Kumuheshimu
Usifanye kama kumkomoa
Kama umemuchoka Achana tu kuliko kupeana Mawazo



EmoticonEmoticon