Thursday, October 1, 2020

Mgombe wa Urais CCM Anguruma Leo Mkoani Songwe Kwenye Mpaka wa Tanzania na Zambia Pale Mjini Tunduma

Tags

 

 Urais wa @ccmtanzania CCM Dkt John Pombe Magufuli anaendelea kuimaliza Tanzania na Leo akiunguruma Mkoani Songwe Kwenye Mpaka wa Tanzania na Zambia Pale Mjini Tunduma Kwenye Viwanja Vya Mwalimu Nyerere. Haya ndio Yaliyojiri na Aliyoyazungumza Kwenye Mkutano huo. #T2020JPM








EmoticonEmoticon