Brothers:
1. Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia unapokuwa na mwenza wako ujue ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua we ndio kidume uliemwezesha.
2. Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaam hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.
3. Usiulize ya nini, ikitokea mwenza amekuomba HELA usiulize ya nini ye ni mtu mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuchambia.
4. Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe. Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya laki tano, cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwachia mwenzawake 10,000 ya nauli. Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya nafuu ye ukamwacha na hela ya kutosha kukidhi haja zake.
5. Tenga ata 10% ya mshahara wako mpe yeye aangalie kama kuna kitu cha kurekebisha arekebishe.
NB: Hapa ni kwa wale Wanaume wanaowazidi kipato wanawake wao sio wanawake wenye vipato vizuri.
Tusiwe wataalamu wakutafuta Gspot wakati ukiombwa ata 5000 unanuna mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha.
EmoticonEmoticon